Thursday, January 8, 2015

MAJANGA: MAMA MWENYE NYUMBA AMUUA MPANGAJI WAKE KISA HELA YA KODI



Kijana wa Miaka 27 kutoka Nigeria anayejulikana kwa jina la Michael Abodunrin aliyekuwa akiishi katika barabara ya Adeyiga Street Lagos amefariki dunia baada ya mwenye nyumba wake kumuua. Micheal ambaye anajishulisha na kazi za ujasiriliamali alikuwa na ugomvi kidogo na mwenye nyumba wake ambaye ni mama wa makamo kisa kikiwa ni Micheal kuchelewesha kodi ya nyumba alikuwa amepangisha ammbapo ni sawa na Naira 200 za Kinigeria na ukizibadilisha kuja pesa ya Tanzania unapata shilingi 1892.93, Siku ya tukio hilo mwenye Nyumba aliagiza vijana wa kazi wanakaa mtaa wa karibu na mama huyo ili kumkamata na kumpiga Micheal ambaye dakika chache baada ya kumpiga alifariki dunia kutokana na kipigo alichokuwa akikapata.

Baada ya polisi kufanya uchungu ikiwa ni pamoja na kumohoji mama huyo mwenye nyumba aliseme Micheal alifariki mwenyew hakumgusa na alianza kutoa vitisha akiwa katika ofisi za polisi na kudai hakuna wa kumfanya chochote yeye huwa haguswagi kabisa na polisi wamekuwa upande wa mama huyo kutoka na watu anaowajua mama huyo kumsaidia katika kesi yake inayomuandama.