MWIGIZAJI MUNA OBIEKWE WA NIGERIA AFARIKI DUNIA
Mwigizaji Muna Obiekwe enzi za uhai wake.
HABARI kutoka Nigeria zimesema mwigizaji maarufu wa kiume wa sinema nchini humo, Muna Obiekwe, amefariki jana katika hospitali ya Festac, jijini Lagos, baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa figo.