PICHA 10 ZA NYUMBA MPYA ANAYOMILIKI MSANII MADEE ZIKO HAPA.
Hiti Maker wa Single ya Pombe Yangu na nyingine nyingi Madee, anamiliki mjengo mkali sana ambapo thamani yake sio chini ya million 40 za kitanzania nimefanikiwa kupata picha zake za nyumba yake mpya hizi hapa chini