Rapa huyu wa kike hapo jana kupitia ukurasa
wake wa Instagram alionyesha nywele zake za
asili zilizoonekana kuwa ni ndefu (utaziona nywele
hizo hapo chini) na ni kweli kwamba ni nywele
zake Nicki Minaj.
Mcheki zaidi kwenye picha hapo chini...
Unaonaje zimempendeza sana au....?