Tuesday, February 3, 2015
BREAKING NEWS: MAJAMBAZI YAVAMIA TENA KITUO CHA POLISI MNGETA NA KUIBA BUNDUKI MOJA NA RISASI 30 - KILOMBERO
KITUO kidogo cha polisi Mngeta kilichopo Wilayani Kilombero mkoani Morogoro kimevunjwa na kuibwa bunduki moja aina ya SMG na risasi 30.
Habari kamili itakujia hivi punde..
Newer Post
Older Post
Home