Sunday, February 1, 2015

Mateka Mwingine wa kijapani auawa kwa Kuchinjwa Shingo na Kundi la Kiislam la ISI Baada ya Japan Kukataa Kutoa Hela

Taarifa za hivi punde zinabainisha kuwa mwandishi wa habari raia wa Japan aliyekuwa akishikiliwa na kundi linalojiita Islamic state of Iraq and the levant ameuawa kwa .....


kuchinjwa Shingo na kundi hilo..
Awali ISIL ilihitaji dola million Mia mbili kama kikombozi (ransom) ili kumwachia huru madai yaliyopingwa na Japana
Kenji goto anakuwa mjapani wa pili kuuawa katika kipindi cha mwezi mmoja na kundi hilo