Kama ni Kufika basi kwa Zari Diamond Amefika Mwisho wa Reli Kigoma, Toka mapenzi yaanza Diamond na Huyu Mrembo imekuwa tofauti kidogo na wapenzi wake wa nyuma..ambao alikuwa haongozani nao.....
kwenye Show zake ila huyu wa sasa ni mguu kwa mguu....
Hapa kwenye picha wakiwa uwanja wa ndege wa Songea ....
Diamond Ameandika Hivi:
SONGEA!!!! SONGEA!!! SONGEA!!! niko mjini kwenu hapa Leo!.. tukutane uwanja wa #Majimaji... Mchana huu, kwenye Hafla ya CCM... Tena, Kiinglio ni Bureeee