Ukistaajabu ya Musa Utayaona ya Firauni , Mwanaume mmoja mfanyakazi wa Chumba cha kutunza maiti Nchini Ghana Ameojiwa na Kituo cha TV cha Adom Nchini humo na Kufunguka Makubwa.....
Sharkur Lukas Amefunguka na Kusema kwa Kuwa imekuwa ngumu sana kwake kupata wanawake wazuri kutokana na kazi anayoifanya ilimbidi atafute njia nyingine ya kujiridhisha kimapenzi kwa kuwaingilia maiti wanawake ambao bado hawajaharibika wanao letwa kuhifadhiwa katika Motuari anayofanyia kazi.