Thursday, February 5, 2015

Nay Wamitego aonesha udharirishaji kwa mwanamke akiwa nusu uchi Picha: Nay Wamitego aonesha udharirishaji kwa mwanamke akiwa nusu uchi

Picha: Nay Wamitego aonesha udharirishaji kwa mwanamke akiwa nusu uchi 

Picha hii imepostiwa kupAitia Acc ya msanii wa Nay Wamitego akiwa yupo kitandani na mwanadada ambae amevalia bikini huku sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa wazi / unaonekana.


Hali ya mwanadada huyo ameonekana akitabasamu bila kuwa na wasi wasi kitendo ambacho kinafanya tuamini kwamba labda wana shoot video, lakini sidhani kama ni sawa pia kwa maadili yetu ya Kitanzania. Pengine si vibaya lakini mazoea hayo kwetu Watanzania ni mageni.
Picha hii imeonekana kuchukiza mabinti wengi na kuenea kwa story tofauti kwa muda mfupi tangu aipost.
Alichoandika Nay Wamitego ni "Ooooh shiiiit!!!!"
~hassbabytz