Leo kupitia mtandaoni, mwigizaji na mwenyetiki
wa Bongo Movies aliejiuzulu, Steve Nyerere
amempa pole na kumtakia afya njema mwigizaji
Kajala Masanja ambae anaumwa tokea majuzi.
"Napenda kukupa pole kwa kuumwa Kajala tupo
pamoja naimani mungu atakusaidia na utapona
na kuendelea na majukumu kama mama pole
kajala pole masanjaaaaa pole sana" .
Steve aliandika mara baada ya kuweka picha ya
kajala.
Nasi pia tunaungana na wadau wote pamoja na
mashabiki wote kukupa pole na kukuombea
upone haraka.