Good Morning my people naomba kurudia tena
kuoa it is a good thing hata mimi nilikuwa nimeoa
na infact nina watoto 2 na my ex wife wapo
mbelezz lakini ndoa sio ya kila mtu ni kama elimu
sio ya kila mtu......ndoa huwa zinakuwa na
matatizo makubwa 3 nayo ni 1. Power 2.
Selfishness na 3. Pesa.......binafsi ndoa yangu
ilikwama kwa sababu ya namba 2 Selfishshness na
baada ya ndoa yangu kuvunjika ilinichukua miaka
2 kikubali cause nilikuwa nampenda sana my ex na
watoto wangu lakini nikakumbuka kwamba
unapopenda kitu chochote kuliko Mungu utakwama
tu na ndio maana nilikwama......so people kama
upo kwenye ndoa na una matatizo ujue ni moja au
mawili au matatu kati ya hayo niliyoyataja ukikaa
chini mwenyewe ukajipima vizuri utagundua ukweli
kuwa tatizo lipo wapi.....kwa kawaida huwa
tunaogopa sana kutoka kwenye ndoa kwa sababu
ya jamii na watu wengine watatuonaje hahahah ni
mawazo ya kijinga na kijuha sana what watu have
anything to do na your life? kwani unapoenda
kulala kitandani unaenda na public?......kama ndoa
yako it does not work huna raha na huna amani
toka kwenye ndoa na tafuta furaha na amani
kumbuka ndoa ni ya Mungu na huwezi
kumpendeza Mungu kama unasononeka kila.siku
kwenye ndoa matokeo unaanza mpaka kuomba
mpenzi wako afe now unatenda dhambi so people
kama upo kwenye ndoa na huna amani please toka
gademu now I mean toka nitoke kwenye ndoa
sijawahi kukosa usingizi ila kabla ya kutoka
nilijaribu kila njia ikafika mahali nikamwambia
Mungu liwalo na liwe.....sijawahi ku regret uamuzi
wangu wa kutokurudi nyuma namuheshimu sana
my ex ila najua kwamba ndoa yetu haikupangwa
na Mungu na ukitaka kujua kwa nini ndoa yako
ilikwama mtizame your ex baada ya ndoa kuisha
na jitizame mwenyewe na kama kawa aliyewachwa
ni yule anayepiga sana kelele baada ya mapenzi
kuisha hahahahahhahaha kama ndoa haifanyi kazi
toka wacha kujidanganya na public au ndugu na
marafiki watanionaje ila hakikisha kama mimi
umefanya kila njia kuiokoa ndoa lakini
imeshindikana! Ndoa sio ya kila mtu na it is
gademu ok! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA! le
Mutuz
