Leo katika pita pita zangu kwenye kurasa za mastaa mtandaoni nimekutana na hii picha ya madam kwenye ukurasa wa mmoja kati ya wapambe wake na kuandikiwa maneno “Ni nini Icho kwani kidolen?”.
Picha hii ya Madam imeibua komenti kabao huku wengine wakisifia na kutoa vijembe kwa wale wanaochonga sana kuhusu madam, huku wengine wakiendelea kuponda kuwa madamu anajifariji tu kutokana na kile wanachodai kuwa mapigo ya Diamond na Zari yanampeleka puta.
Nimnyukano tu wamaneno unaoendelea huko Insta baina ya team hizo mbili.
Wale wajuzi hebu fungukeni hiyo pete ni yauchumba au? Kama ni kweli basi tumpongeze madam kwa hatua hiyo, kuhusu nani amemvisha hata mimi sijui.