Thursday, March 26, 2015

NI ZAMU YA SHETTA SASA HIVI, NA HII NDIO VIDEO YAKE MPYA KAMSHIRIKISHA MNIGERIA.

Shetta 1Ni zamu ya Shetta ambae ni mkali wa bongofleva aliekaa kimya bila kutoa chochote kipya kwa zaidi ya miezi 7 na sasa amerudi kwenye headlines na hii kolabo kampa shavu Kcee wa Nigeria.
Umeionaje video na wimbo wenyewe? Shetta atapenda kuisoma comment yako hapa chini mtu wangu