Wednesday, April 29, 2015

GOOD NEWS: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City!

Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.