Wednesday, April 29, 2015

Joketi 'Kuna Mtu Namtamani Sana Kimapenzi na Ninamvutia Kasi Nimpate'

Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo “jojo” amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata

Kupitia bonge moja la show weekend “the playlist” Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince

“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema Jojo

Hata hivyo Jocate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemvizia.