Monday, May 18, 2015

Angalia Alichokiandika Mwigizaji Wastara kuhusu UNDUGU wake yeye na muimbaji Stara Thomas hiki hapa…

wastaraInawezekana hii stori ikawa na maswali mengi zaidi kwako kutokana na watu ambao tumekua tukiwafatilia na kuzipenda kazi zao kumbe wana Undugu ambao kila mmoja kwa nafasi yake hakuwahi kufahamu hili.
stara tMwigizaji Wastara kwenye ukurasa wake wa Instagram alipost picha wakiwa 4 akiwemo muimbaji Stara Thomas ambayo ilikua na maneno haya>’Wastara wa 4 bibi Stara Mama Stara Dada Stara mdogo Stara ilo ndilo jina langu halisi nililopewa na Bibi yangu huyu hapo mzaa Mama‘
Maneno mengine alimalizia ‘Usishangae kumuona Stara Thomas hata mim nilisahangaa jina ilo kalipata wapi lakini maswali yameisha leo baada kukutana kwenye msiba wa bibi yake mzaa mama ambaye ndio mwenye jina ilo lilonifikia mpaka mim kuitwa stara ambaye nami ni bibi yangu mungu amrehemu bibi yetu wajina letu‘