Monday, May 11, 2015

BREAKING NEWS:GARI MBILI LIKIWEMO LORI LENYE KONTENA ZAGONGANA NA KUTUMBUKIA MTONI ENEO LA WAMI!!SHUHUDIA PICHA HIZI




Ajari ya malori mawili yamegongana kwenye daraja la mto wami na kutumbukia mtoni! Kwa mujibu wa Kamanda Mohammed Mpinga "...tukio la ajali lilitokea asubuhi Wami likihusisha magari 4. Chanzo ni roli lenye container ku-fail brake kuparaza Coaster na roli ikipishana nazo kabla ya Wami darajani kuelekea Chalinze na kwenda kugonga kwa nyuma fuso iliyokuwa mbele yake na zote kwenda kutumbukia mtoni."