Rihanna akiwa amevaa vazi la njano linalojulikana kama Guo Pei kwenye zulia jekundu. Hapa palikuwa ni kwenye maonyesho ya mavazi yaliyojulikanakama Met Gala yaliyofanyika jijini New York, Marekani, jana.
ONYESHO la mavazi yaliyoandaliwa na Metropolitan Museum of Art's Costume Institute gala yalifanyika jana jioni New York na kuhudhuriwa na mastaa tofauti wakiwemo Kim Kardishian, Kanye West, Rihanna, Beyonce na Jay Z.
Kiingilio katika onyesho hilo kilikuwa $25,000 sawa na 49,942,500/=