JIJI LETU

Monday, May 4, 2015

Mgomo Wa Daladala Waleta Shida Jijini Dar


Mgomo wa wafanyakazi wa mabasi yanayotoa huduma jijini Dar es Salaam, leo asubuhi umesababisha mtafaruku mkubwa kwa wakazi wa jiji hili ambapo wengi wao walionekana wakitembea kwa miguu kuelekea kazini na katika shughuli zao mbalimbali.
 
Mgomo huo ambao unaenda sambamba na usafiri wa mabasi ya abiria nchi nzima, unafuatia ule uliotokea Aprili 11 mwaka huu, ambapo wenye mabasi na wafanyakazi wanataka maridhiano na serikali katika masuala mbalimbali.
at 10:44:00 AM
Newer Post Older Post Home

categories

AFYA AJALI AJIRA BIG BROTHER BONGO MOVIE Bongofleva Bongomovie BUNGENI ELIMU FASHION FIESTA FUMANIZI Habari Za Mitaani HIP HOP Instagram KIMATAIFA KITAIFA MAAJABU Madawa ya kulevya MAGAZETI MAPENZI MBELE MICHEZO RECORD SIASA TECHNOLOGY UDAKU UKATILI UTAFITI VITUKO WASANII WhatsApp Videos

Popular Posts

  • Video ya Aibu ya Wema Sepetu Yavuja!
  • VIDEO: Mama Maria Nyerere Ampigia Kampeni Dr. Magufuli
  • Mke Anasa Picha Chafu Za Hawara...Bofya Hapa Kuziona!
  • Kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 26 April 2014
  • Utajiri kigogo NHC gumzo
  • VIDEO:TAZAMA WANAFUNZI HAWA WAKIYAKATA MAUNO NI BORA WANGEENDA TWANGA PEPETA KIPAJI WANACHO
  • PENNY AJITABIRIA KUWA MCHUNGAJI
  • Profesa Tibaijuka: Wapo Waliochota Fedha za Escrow Lakini Wamenyamaziwa
  • Wakubwa Tuu!!! Ebu Tazama Picha Za Model Huyu Alizotupia Mtandaoni Ni Kufuru
  • Utameza Mate Kama Fisi! See What This Naughty Swahili LADY was Doing in Private (VIDEO)
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.