Saturday, May 16, 2015

PICHA YA WAZIRI NYALANDU AKIWA AMEMPAKATA ASKARI YAFIKA BUNGENI NA KUZUA UTATA.......MSIKILIZE MBUNGE NASSARI AKIONGELEA SAKATA HILO.


Waziri Nyalandu akiwa amembeba mmoja wa askari wa  kike.
 
Kitendo  hicho  kimeonekana  kuwakera  wabunge  ambao  wamepaaza  sauti  na  kuhoji  uhalali  wa  waziri  kumshika  kiuno  Askari  wa  kike....

Hapo  chini  kuna  audio  ya  Mbunge  Nassari  akiongelea  sakata  hilo.