Thursday, May 7, 2015

WEMA SEPETU ATOA TAMKO RASMI KUHUSIANA NA SHERIA YA CYBERCRIME

Naomba mimi kama Wema Sepetu, nitoe tamko langu rasmi kuhusu hii Sheria mpya iliyopitishwa bungeni. Naongelea Sheria ya cybercrime au cyberbulling. Ukweli ni Kwamba watanzania tunatumia vibaya mitandao ya kijamii.  Matusi yamekuwa ni mengi na sometimes hawavumiliki. Kwa kweli

kunahitahija Kuwa na laws in place Za kupunguza unyanyasaji kupititia mitandao ya kijamii. That said, yes nai support hii bill ya cyber crime to an extend. Kama jinsi ambavyo watanzania tunatumia vibaya mitandao kwa kuumizana kwa njia ya matusi na kuchafuana, wana siasa wetu waliopitisha hii Sheria ya cybercrime pia wameitumia vibaya hii Sheria na kuitumia kama silaha ya kumfunga mdomo mtanzania