ZARI AACHIA PICHA ZINAZOONYESHA MAUMBILE YAKE
mdada huyo ambae aliamua kutupia picha hizo katika mitandao yakijamii na kuacha gumzookubwasana katika jamii,alitupia picha kama zinavyoonekana hapo juu na kuziachia hewani katika mitandao ya kijamiijuhudi zilifanyika kumpata mdada huyo lakini jitihadazetu ziligonga mwamba maana hakua hewani alipokua akipigiwa simu