Sunday, June 21, 2015

ALI KIBA MSANII PEKEE ASIYE MFOLLOW MTU YEYOTE INSTAGRAM.

Ali Kiba kwenye mtandao wa instagram hajamfollow mtu yeyote.Kwa taratibu za mtandao huo Ali Kiba huwa haoni post ya mtu yeyote bali huona vitu vyake mwenyewe.Hii ikimaanisha hayupo karibu na mambo ya wasanii wala mashabiki yanayoendelea kwenye mtandao huo.Wasanii wamekuwa wakitumia mtandao huu kujitangaza na kutafuta connection na wasanii wa nchini na nje ya nchi.Si habari nzuri kwa team Kiba wanaokuwa wakitukana watu huku muhusika akiwa ajui lolote kinachoendelea akimaanisha kutounga mkono kejeli hizo kwa wote wasio mpenda.