Sunday, June 21, 2015

BAADA YA WEMA SEPETU NI ZAMU YA IRENE UWOYA KUTANGAZA NIA.

Hii ni baada ya kuweka ujumbe wanawake tunaweza.Akiwa mbioni kutangaza nia na eneo atakalo liongoza tukae mkao wa kula mambo ya wasanii na ubunge yashaiva.Wasanii waliojitosa kwenye kuwania firsa ya uongozi ni Kala Pina jimbo kinondoni,Afande Sele Morogoro,Wema Sepetu Singida,Khalid Chokoraa Bagamoyo udiwani na Professa J Mikumi.Ni muda wa kukamata fursa twenzetu.