Mbunge wa jimbo la Bumbuli, mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, January Makamba akisaini kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana.
January Makamba akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
January Makamba akisalimiana na wanachama wa CCM baada ya kuchukua fomu.
Mzee Yusuf Makamba na mkewe (katikati)