Thursday, June 11, 2015
Mengine mazuri ya kujionea kwenye hii BMW toleo jipya kabisa !! (PICHAZ)
BMW
ni moja ya magari ambayo yana hadhi ya juu sana duniani… Hata bei yake pia iko juu mtu wangu.
Kwa hapa Bongo mmoja ya Mastaa wanaotembelea gari aina ya BMW ni
Diamond Platnumz
.
Hapa nimepata PICHAZ 15 za toleo jingine jipya kabisa la
BMW Series7
.
Newer Post
Older Post
Home