Kushoto ni Madam Rita, kabla ya uzinduzi akiwa na mmoja wa wadau, kulia ni mbunifu wa mitindo nchini Ally Remtullah.
Mmoja wa washindi wa BSS mwaka 2013, Emmanuel Msuya akizungumza jambo na wanahabari (hawapo pichani).
Baadhi wa waandishi wa habari wakifuatilia kipindi maalumu cha wasanii na washindi waliopita katika shindano la BSS, miaka ya nyuma.
Habari/Picha na Gabriel Ng’osha na Hamida Hassani