Sunday, June 7, 2015
NEEMA KWA ACT WAZALENDO....ZITTO KABWE ASHINDA TUZO YA MWANASIASA BORA NA MWENYE USHAWISHI ZAIDI 2015
Zitto Zuberi Kabwe aendelea kuudhihirishia
ulimwengu kuwa ni Mwanasiasa bora na
mwenye ushawishi.
Jamii ya wanazuoni wa Chuo kikuu cha Dar es
Salaam,yamtunuku tuzo ya Mwanasiasa
mwenye ushawishi Tanzania.
Mungu sio Athumani
Newer Post
Older Post
Home