Saturday, June 20, 2015

VIDEO MBILI ZA TANZANIA ZAINGIA KWENYE LIST YA TOP 10 YA TRACE TV YA ULAYA!..NI ZA WASANII HAWA HAPA

Trace TV ni kituo cha TV cha Ufaransa maarufu kwa burudani ambapo kwa miaka kadhaa sasa hivi kimeendelea kuchukua watazamaji wapya wapenda muziki kila siku kutokana na ubora wa muziki unaopigwa na wao, video kali kutoka kila kona ya dunia ambapo leo kituo hicho ya kimesema hizi ndio video 9 bora za Africa zinazotamba wiki hii zikiwemo za watanzania wawili (Vanessa Mdee & Diamond Platnumz).