Sunday, July 19, 2015

BREAKING NEWS : MV KIGAMBONI LAPOTEZA MWELEKEO UPANDE WA KIGAMBONI

Wananchi wakilitazama  Mv. Kigamboni baada ya  kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari  baada ya kutaka kushusha Abiria na magari upande wa Kigamboni
 Baada ya kupakia Abiria na magari upande wa kigamboni  likiwemo gari maalumu bla kubebea wagonjwa lilifanikiwa kutoka upande wa kigamboni na blilipofika jirani na gati upande wa Magogoni lilipoteza mwelekeo kwa 
dakika kadhaa hatimaye kushusha upande wa magogoni. (PICHA ZOTE NA 
KHAMISI MUSSA)