Lulu Michael msanii anayejipalilia umaarufu wake sio wa kukopa,Ana miaka kumi na tano kwenye gemu,Ona guu la bia na umbo matata amekuwa kwenye macho ya watanzania toka mtoto mtangazaji wa kipindi cha watoto hadi sasa mcheza filamu wa kulipwa milioni kumi na tano kwa sinema moja.Moto wa kuotea mbali na mguu wa kuita.