Kuna uvumi ulio enea mitandaoni juu ya Waziri mkuu wa zamani kujitoa CCM . vumi huu bado haujathibitishwa kama ni kweli sumaye kajitoa .Mtandao huu unaendelea kufwatilia kwa undani kuweza kujua ukweli juu ya taarifa hii.Tutawajuza pindi taarifa rasmi itakapo thibitishwa.
Endelea kuwa nasi
