Saturday, August 29, 2015

DUH:ONA HAWA WAMACHINGA, BODABODA NA MAMA NTILIE WAKIMCHANGIA LOWASSA HELA ZA KAMPENI,

Hivi ndivyo ilivyokuwa jana Ndg. Edward N Lowassa alivyokuwa akizungumza na wananchi wa jiji la dar es salaam hususani machinga, bodaboda na mamantilie baadae waliamua kumchangia pesa kwa ajili ya kufanyia kampeni, nimekuwekea hapa picha hizo akichangiwa. leo hii atakuwa jangwani katika uzinduzi rasmi wa kampeni ya vyama vinavyounda katiba ya wananchi UKAWA