Saturday, August 22, 2015

JOYCE KIRIA ATUPA KOMBORA ZITO CCM..HEBU LISIKIE HAPA

  "Watu waliotawala zaidi ya miaka 50 hawapaswi kutupa ahadi tena, wanapaswa kutuonyesha wamefanya nini.
Nilitarajia kuona wakisema: "TUMEPUNGUZA UMASIKINI" badala ya "TUTAPUNGUZA UMASIKINI" "TUMEPAMBANA NA RUSHWA" badala ya "TUTAPAMBANA NA RUSHWA" "TUMELETA AJIRA KWA VIJANA" badala ya "TUTALETA AJIRA KWA VIJANA" NK.
Watanzania, tuburudike na vichekesho vya watawala, lakini akili tunayo. Hatuwezi kudanganyika kwa miaka zaidi ya 50.
Natamani WAONDOKE, TUANZE UPYA. Ngachokaaaaaaaaaa" By Joyce Kiria - 20/08/2015