Mtu mmoja huko Kariakoo jijini Dar amekamatwa na Polisi kwa kuendesha zoezi lisilo rasmi wala lisilofuata kanuni, sheria na taratibu za nchi, kwa kupiga kura za 'chap chap' ili alinganishe matokeo atakayopata na yale yaliyotolewa na Twaweza hivi juzi .