Sunday, September 27, 2015

JOSEPH MBILINYI " SUGU" Afanya Maajabu Mbeya, Lembeli Naye Kahama Afanya Mabadiliko Ya Kutisha


Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kati wilaya ya Kahama kimesema hakita kuwa tayari kuona watendaji wa manispaa ya Kahama ikiwanyanyasa wafanyakazi wa serekali kwa kuwa cheleweshea stahiki zao kama walimu, polisi, idara ya afya, na mahakama.