Maneno Ya John Mnyika Baada Ya Mama Yake Kupanda Jukwaani Katika Kampeni Zake
Nani kama mama? Namshukuru sana mama yangu kwa yote kwangu. Uwepo wake katika mkutano jana Septemba 25 ndani ya kata ya Saranga ni faraja na baraka kuu kwa utume wangu wa uongozi kuwatumikia wananchi na nchi yangu.-John Mnyika