Mchungaji huyu alifanikiwa kuwashawishi waumini wa kike wa kanisa lake kuvua nguo mbele ya kanisa lote ili awafanyie maombezi kwa kuwakanyaga.
Mchungaji huyo anasema kwamba utapata uponyaji pale tu ambapo utafuata njia yake ya kuvua nguo na kubaki nusu uchi. Cha kushangaza waumini wake wengi (wanawake) hawakusita kumtii mchungaji huyo.