Wednesday, September 16, 2015

MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA LOWASSA LEO ATIKISA GEITA

Mgombea urais wa UKAWA Mh Edward Lowassa ameingia katika mkoa wa Geita kunadi sera za UKAWA na kupata mapokezi ya kishindo yawafuasi wa mabadiliko wakiwemo vijana ambao wamesema harakati zinazofanywa na CCM kumchafua Mh Lowasa hazina nafasi kwani watanzania wamechoshwa na ahadi zisizo na vitendo
 
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Chato Geita leo Jumatano 16/9/2015 katika viwanja vya Stendi.