Wednesday, September 16, 2015

WE NI MSHABIKI WA WOLPER NA TIMU UKAWA UJUE JINSI WOLPER ALIVYOTIA FORA KWA MSIMAMO WA KUBAKI UKAWA DAIMA

madadiliko kupitia UKAWA na kushiriki katika harakati za kumpigia kampeni Mh Edward Lowassa ambaye ni mgombea urasi kupitia UKAWA kwa tiketi ya CHADEMA, amewatoa hofu mashabiki wao kuwa hakuna bifu miongoni mwao kwani siasa zikiisha wataendelea na maisha yao kama kawaida tofauti na baadhi ya mashabiki wanavyodhani hasa baada ya wasanii hao wa bongo movies walivyotafautiana kimitazamo ya kisiasa kwakipindi hiki hadi kufia kutoleana lugha kali miongoni mwao.
"Msijali Mashabiki siasa zikiisha maisha yetu yanaenda kama kawaida Maana sisi zetu kamera siyo viti vyekundu ila hapa pipozii tuu paka kieleweke"–Wolper aliandika kwenye mtandao wa instagram.
Pia kwenye moja ya posti zake wkkenyemtandao huo huo wolper alisisitiza kubaki kuwa team mabadiliko
“...Ni bora kuwa kaisari kuliko kuwa yuda mimi nitabaki kuwa Jacq Lowassa”