January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada ya kumnyima Uwaziri Mkuu.Hizi ndo Picha alizoweka ambazo zinadaiwa kumkejeli Rais Magufuli

Picha hii inaonyesha sokwe mtu wakiwa wamevalia suti na huyo mtu anayeonekana kurukia kamba huku nyuma ana mkia lakin akiwa amevalia kaptula peke yake
