Wednesday, January 20, 2016

Picha sita + video ya bibi wa miaka 54 aliyeingia kwenye headlines za kuusaka umiss Uingereza

Uingereza kuna mashindano ya urembo yamepewa jina la Miss Galaxy, unaambiwa bibi mmoja Amanda Booth kaona hata asipitwe na hii, na yeye kaingia kama mmoja ya wanaosaka Taji hilo japo umri wake ni miaka 54 na ameingia kugombea Taji hilo na warembo wengine ambao umri wao ni miaka 20 !!
302F8AA600000578-0-image-a-1_1452855073750
Waandaaji wa mashindano hayo wamesema bibi huyo amevunja rekodi kwa kama miaka 20 hivi iliyopita hakuwahi kutokea mrembo anayeshiriki mashindano hayo mwenye umri mkubwa kama wake… ilikuwa ndoto yake kufanya masuala ya urembo, lakini ndoto hiyo kaitimiza sasahivi.
302F85B600000578-0-image-m-4_1452855282792 302F884B00000578-0-image-m-14_1452855598428 302F883300000578-0-image-m-30_1452855790564 302F885300000578-0-image-a-2_1452855178852
302F8AF500000578-0-image-m-32_1452855832821
Hii ni picha ya bibi huyo alipokuwa na umri wa miaka 25
Hapa ni video yake pia anasimulia kila kitu.