Tuesday, February 9, 2016

Ni Nani Aliyekutuma Kuoa Mwanamke Flat Screen? Kazi Kutoa Macho kwa Wake wa Wenzio tu

Naongea na wanaume wenzangu wale walio owa wanawake wenye makalio madogo halafu wakiona wa wenzao wenye makalio makubwa wanaanza kupiga mikelele.

Utakuta uko na mkeo matembezini uku kafungashia kidogo basi mijanaume isiyokuwa na akili inaanza kupiga mayowe oh wakubwa wanafaidi ohh marshallah.

 
Kwanini na wewe usioe au kutafuta mwanamke mwenye makalio na ukaacha kutamani vya wenzao. Kwanza unamkosea adabu mwanaume mwenzio kupiga miyowe utadhani umeona utupu wa mzazi wako.

Acheni ujinga tuacheni tuenjoy na wake zetu maana hatukuwatuma kuoa flat screen.

By Nitonye