Wednesday, February 3, 2016

WIMBO MPYA: ALI KIBA – LUPELA



Mfalme wa muziki wa Bongo Flava nchini, Ali Kiba ‘King Kiba’ ameachia audio ya wimbo wake mpya ‘Lupela’ ambao video yake itazinduliwa rasmi kesho kwenye ukumbi wa Slipway Hotel jijini Dar es Salaam. Sikiliza na pakua hapa….