Sunday, March 6, 2016

VIDEO MODEL TUNDA ARUDISHA MAJESHI KWA YOUNG DEE BAADA YA UVUMI KUWA ANATOKA NA NUH MZIWANDA

Tunda 1
Video model Tunda amerudisha majeshi kwa paka Rapa aka Young Dee baada ya uvumi kuwa anatoka na Nuh Mziwanda, picha za Nuh na Tunda zilisamba mtandaoni na kutengeneza hisia kuwa wawili hawa ni wapenzi.

Hii post ya Tunda, na hizi picha akiwa na Nuh Mziwanda.
Video ya msanii wa Marekani Ciara akicheza nyimbo za wanigeria kama Kukere na Duro kwenye mitaa ya Lagos alivyotembelea Nigeria.

Nuh Mziwanda 3  Tunda 2 Young Dee