Wednesday, April 6, 2016
Watu 4 Wafariki Kwa Kufukiwa Na Kifusi Leo Kawe – Dar
Watu wanne wamepoteza maisha na wengine watano wajeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi asubuhi hii eneo la Ukwamani, Kawe – Dar.
Taarifa za awali zinasema waliofariki ni mfanyakazi wa ndani, watoto wawili na baba mwenye nyumba.
Newer Post
Older Post
Home