HII NDIO NYUMBA YA MTITU ILIYOTUMIA MIL 178 KUTENGENEZWA...SOMA ZAIDI
Mkongwe kwenye sanaa ya uigizaji Bongo, William Mtitu ameteteketeza shilingi Mil. 178 katika mjengo wake mpya uliopo Kigogo jijini Dar.
Mjengo wa mkongwe kwenye sanaa ya uigizaji Bongo, William Mtitu unaosadikika kughalimu zaidi ya shilingi milion 178Chanzo kilicho karibu na staa huyo kimepenyeza data kuwa, licha ya mjengo huo kutokamilika kabisa lakini hadi sasa, milioni 45 zimetumika kununua kiwanja, 38 kununua samani za ndani na ujenzi ni Sh. Mil. 85. Alipotafutwa Mtitu azungumzie mjengo wake huo, alisema hana cha kuongea kila kitu kinajionesha.