Friday, May 30, 2014
MADEMU WAZICHAPA LIVE BILA CHENGA BAADA YA KUCHUKULIANA BWANA..WATAZAME WAKIPEANA KISAGO!!
dada wawili ambao majina yao hayakupatikana mara moja... hivi juzi walitoa mpya baada ya kukunjana kisa mwanaume.... shuhuda wa tukio hilo waliieleza SAFU HII... kuwa dada hao ni marafiki wa siku nyingi tu na inasemekana wamesoma wote shule ya sekondari...inadaiwa urafiki wao uliingia dosari baada ya mmoja huyo mwenye gauni la zambarau kumchukua bwana wa mwenzie... hii na baada ya rafki yake huyo kuumwa na kulazwa kwa kipindi cha mda mrefu... baada ya kuchoshwa na kitendo cha kuchukuliwa laazizi wake ndipo alimvizia dada huyo wakati akitoka dukani na ndipo wawili hao walipoanza kuzichapa kavukavu.... mmmh kweli mume wa mtu sumu ...... kah...