Hit maker wa ‘Number One’, Diamond Platinumz baada ya kuwarusha mashabiki wake nchini Marekani weekend iliyopita, amepost picha akiwa na masanii mkubwa wa kike wa Nigeria, Tiwa Sawage wakiwa nchini Ghana wiki hii.
Meneja wa Diamond, Babu Tate alinukuliwa na Millardayo.com hivi karibuni kuwa Diamond atasikika tena kwenye collabo nyingine na Davido itakayowahusisha pia Tiwa Savage wa Nigeria na Mafikizolo wa Afrika Kusini ikiwa ni kampeni ya kituo kimoja kikubwa cha TV Afrika. Tazama Picha