Kila mtu maarufu hapa bongo anakitu cha kwanza ambacho ndio kilimtoa. Kwa Agness Gerald ilikua ni ile video ya nyimbo ya masogange aliyoimba belle 9 ambayo yeye alikua video queen. Tokea Video ya masogange itoke basi hapo ndipo Agness alipobatizwa jina la masogange na kusifiwa kwa kua na shape moja ya kufa mtu kwa upande wa video queens hapa Bongo. Hadi leo ukitaja video queen mwenye shape ya ukweli basi wa kwanza kumtaja atakua ni Agness Masogange.
credit - vibe